KUTANGAZA ORODHA YA WATEULE (SHORTLISTED NOMINEES) NA UZINDUZI WA KURA ZA WANANCHI (PUBLIC VOTING)

nimewaita hapa leo kwa ajili ya kutangaza hatua muhimu katika mchakato wa maandalizi ya The Serengeti Awards 2025. Napenda pia kuwataarifu kuwa tuzo hizi zinatarajiwa kutolewa tarehe 31 Januari, 2026, jijini Arusha